1. Dira: Jamii iliyobadilika kiroho na kijamii.
2. Dhamira:‘kutoa huduma za kiroho na kijamii kwa ubora wa hali ya juu kwa kuhakikisha kuwa kanisa limeandaliwa vizuri na kuwa na uwezo wa kutoa huduma za kiroho na kijamii.
3. Msingi mkuu wa imani: Tunamini katika Mungu wa kweli ni mmoja, ambaye amejifunua katika nafsi tatu, Baba, Mwana na Roho mtakatifu, ndiye peke yake anayestahili kutukuzwa na kuabudiwa na kila kiumbe..
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Post a Comment